Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, August 22, 2020

Mchakato wa kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Benjamin Mkapa Stadium (Uwanja wa Benjamin Mkapa) Wakamilika.

Mchakato wa kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Benjamin Mkapa Stadium (Uwanja wa Benjamin Mkapa) umekamilika.

Kubadilishwa kwa jina la uwanja huo ni moja ya njia za kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu.

Akiwa madarakani Hayati Mzee Mkapa alipigania vyema sekta ya michezo nchini na kufanikisha kujenga Uwanja wa Taifa. 

Baada ya kifo chake yaliibuka maoni kutoka kwa watu na taasisi mbalimbali kuhusu uwezekano wa kubadili jina la uwanja huo na kwa kuwa lilikuwa wazo zuri, Rais Dkt. John Magufuli aliafiki na shughuli ya kubadili jina ikaanza mara moja.
chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )