Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, August 11, 2020

Mgombea Urais Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja Achkua Fomu Za Urais Ofisi za NEC

juu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage amekabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2020. 

chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )