Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema kuwa chama hicho hakikumteua Kangi Lugola kugombea ubunge Jimbo la Mwibara baada ya kufungana kura 173 na Charles Kajege, kwa sababu Lugola alijipigia kura moja.
Akizungumza na wakazi wa Bunda mkoani Mara, Magufuli ambaye ni mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho amesema kuwa baada ya wagombea hao kufungana, waliangalia nani ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya ya CCM, ndipo wakabaini Lugola ni mjumbe, hivyo kura moja kati ya kura 173 alizopata alijipigia.
Kwa maana hiyo, ukitoa kura aliyojipigia, anabakiwa na kura 172, huku Kajege ambaye si mjumbe akiwa na kura 173.
==>>Msikilize hapo chini
Kwa maana hiyo, ukitoa kura aliyojipigia, anabakiwa na kura 172, huku Kajege ambaye si mjumbe akiwa na kura 173.
==>>Msikilize hapo chini
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )