Tanzania imeondoa marufuku ya safari za ndege za Kenya kuingia kwenye anga lake iliyokuwa imeiweka baada ya nchi ya Kenya kuondoa sharti la kuwaweka karantini siku 14 Watanzania wote wanaoingia nchini humo.
Taarifa hii imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari.
Taarifa hii imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )