Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, September 9, 2020

Watumishi Busega Wapata Mafunzo ya Mfumo wa Madeni ya Watumishi Serikalini (MadeniMIS)

juu
Na:  Mariane M. Mgombere 
Pichani ni baadhi ya Watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Busega wakipatiwa mafunzo ya mfumo wa madeni ya Watumishi Serikalini unaojulikana kama MADENI MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM (MadeniMIS) ambao una lengo la kuhakiki na kuthibitisha madeni ya watumishi.

Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili wilayani Busega katika ukumbi wa shule ya Msingi Nyashimo (TRC). Mafunzo haya yameanza kutolewa jana tarehe 8 Septemba, 2020.

Mfumo wa MadeniMIS utatumika kuratibu madeni na madai ya Watumishi wa Serikali yasiyo ya mshahara kwa nchi nzima lakini kwa kuanzia utaanza na madeni ya Walimu, alisema mwezeshaji wa mafunzo hayo, Ndg. Sweetbert Kashaija kutoka TAMISEMI. 

Lakini pia mfumo huu utapunguza malalamiko ya madai na madeni kwa Watumishi wa Serikali.
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )