Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, October 21, 2020

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Dk Salim Ahmed Salim Kuzikwa Kesho


 Mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim, Amne Salim anatarajiwa kuzikwa kesho katika makaburi ya Kisutu ,jijini Dar es Salaam.

Amne alifariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kulazwa katika hospitali ya Aga Khan kwa muda.

Amne alijaliwa kupata watoto watatu na Dk Salim aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (OAU). Watoto hao ni Maryam, Ali na Ahmed.

Mbali na kuwa kiongozi wa OAU, Dk Salim aliyekuwa mwanasiasa tangu miaka ya 1960 pia amewahi kuwa Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Balozi katika nchi mbalimbali.Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: