Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakiwasili kuweka jiwe la msingi eneo Mbezi Luis jijini Dar es salaam ambako mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani unatekelezwa leo Alhamisi Oktoba 8, 2020
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )