Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, October 13, 2020

Tangazo la Nafasi za masomo shule ya sekondari lake tanganyika....Bofya Hapa Kwa Taarifa Zaidi

juu


Tangazo tangazo tangazo........Nafasi za masomo shule ya sekondari lake tanganyika

Uongozi wa shule ya sekondari iliyopo wilaya ya kigoma vijiji mkoani kigoma inapenda kuwatangazia wazazi/ walezi kuwa nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza zinapatikana 

Shule ni ya bweni na inachukua wavulana na wasichana ,na pia inatangaza nafasi  za kuhamia kwa kidato cha pili,tatu na cha nne ,pia kwa wale wanaotaka kuhamia kidato cha tano kwa tahasusi zifuatazo HGK,HKL,na HGL 

Kwa wahamiaji wote gharama ya mtihani wa kujiunga ni sh 30000/

Na pia shule inatangaza nafasi za pre form one kwa gharama ya sh 70000/ kuanzia 19/10/2020 hadi 18/12/2020 

Kwa ujumla ada zetu ni rahisi sana na zinalipwa mara nne kwa mwaka  na ada zetu ni  sh 700000/ kwa form one hadi four  na 750000/ kwa kidato cha sita na tano

Shule inawakaribisha watu wote .Gharama ya Fomu ni Tsh 10,000 tu na baada ya Karo, michango kwa mwaka ni Tsh 150,000 tu.

Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga:  
0769697667,
0627557839, 
0713221620,
0763091810
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )