Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, October 20, 2020

TECNO Kujumuika Na Mashabiki Kwenye Uzinduzi Wa Spark 5pro.

Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro. Uzinduzi wa simu hiyo umefanyika Kidimbwi Beach tarehe 18/10/2020 na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo komediani maarufu Jaymond na wadau wa simu za TECNO.

Uzinduzi wa Spark 5pro ulifanyika katika mfumo wa party ambapo DJ Maphorissa kutoka South alitoa burudani ya kutosha na kuufanya uzinduzi wa Spark 5pro kuwa wa aina yake.

“Spark 5pro sio simu ya kwanza kwa kampuni ya TECNO kuzinduliwa kwa mfumo wa party na hii imejirudia kwasababu Spark 5pro ni simu yenye kutulenga vijana wa kileo na ili kuweza kutufikia kwa uharaka zaidi basi ni lazima kutumia njia zetu kama hivi,

Baadhi ya sifa zinazopatikana katika simu hii ya TECNO spark 5pro ni uwezo wa simu hii kuwa na ukubwa wa memory ya GB 64ROM + GB 3RAM, selfie ya megapixel 8 na kamera ya nyuma ni megapixel 16M+2M+2M+AI Lens, battery ya ujazo wa mAh 5000, alisema msanii maarufu wa comedian Jaymond ambaye ndio mgeni mualikwa katika uzinduzi huo”.


“Uzinduzi wa Spark 5pro ni wa aina yake sisi kama wateja wa simu za TECNO tumefurahi kuona namna TECNO inavyotujali na kututhamini, tumekula tumekunywa lakini pia tumepata nafasi yakupiga picha na mgeni mualikwa alisema Bwana Haji Omary”.

TECNO Spark 5pro sasa inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania.


Ili kufahamu mengi zaidi tembelea mara kwa mara ukurasa wa Instagram https://bit.ly/2Hftrh6


chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )