Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, October 8, 2020

Timu ya Burundi Yawasili Nchini Kuikabili Taifa Stars October 11

juu

 Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini  kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya FIFA.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 11, Uwanja wa Mkapa na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote mbili kuwa na wachezaji wazuri.

 Pia ndani ya timu ya Burundi kuna wachezaji ambao wanacheza Ligi Kuu Bara jambo ambalo linaongeza ushindani kwa kuwa wanatambua soka la  Tanzania lilivyoap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )