Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jana tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )