Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, December 27, 2020

Mwili wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza Kuzikwa Jumatano Ijayo


 Mwili wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza, utawasili jijini Dar es salaam Jumatatu Desemba 28, 2020.

Taarifa iliyotolewa na BASATA imeeleza kuwa, mwili wa Mngereza utaagwa Jumanne katika ukumbi wa Karimjee na mazishi yatafanyika Desemba 30, 2020 kijijini kwao Suji wilayani Same mkoani Kilimanjaro.

Mngereza amefariki dunia Desemba 24 mwaka huu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu (ICU).

chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )