Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 24, 2021

PICHA: Rais Magufuli afungua Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam

Taaswira ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku, abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo zaidi ya 280, Mabasi 1000 wakati wa usiku, Ofisi za Mabenki, Hoteli, Ofisi za Uhamiaji, Maduka pamoja na Ofisi mbalimbali- PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya Nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.Viongozi wengine katika picha ni Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Katibu Mwenezi wa CCM Humphrey Polepole wakishuhudia tukio hilo.
Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: