Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, February 18, 2021

PICHA: Rais Wa Zanzibar Alhajj Dk Hussein Ali Mwinyi Ajumuika Na Wananchi Katika Sala Ya Kuusalia Mwili Wa Marehemu Seif Sharif Hamad


MAKANALI na Mameja wa JWTZ wakiwa wamebeka jeneza la Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad uliopowasiliu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wengi wakijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya kuusalia mwili wa marehemu aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, ilioongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar leo 18-2-2021.(Picha na Ikulu) 

 

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: