Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, March 19, 2021

Rais Dk.mwinyi Asaini Kitabu Cha Maombolezi Na Kutoa Mkono Wa Pole Kwa Mjane Wa Marehemu Mama Janeth Magufuli

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt.John Pombe Magufuli,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo 19-3-2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimfariji Mjane wa hayati aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.(Picha na Ikulu)

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: