Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, April 20, 2021

Rais Samia Suluhu Akutana Na Timu Ya Majadiliano Kati Ya Serikali Ya Tanzania Na Uganda Na Kampuni Za Uwekezaji


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Uganda na Kampuni za Uwekezaji katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga. Mhe. Rais Samia amekutana na Timu hii Ikulu jijini Dodoma

chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: