Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, June 24, 2021

Rais Samia Arejea Dodoma Kutoka Ziara Ya Kikazi Ya Siku Mbili Nchini Msumbiji


Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo, akitokea Maputo nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Wakati wa mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binadamu kitakachosaidia nchi zinazokabiliwa na athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kukabiliana na janga la corona pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la ugaidi.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: