Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme Msamvu - Morogoro limewaka moto na kusababisha Mkoa wa Morogoro kukosa umeme.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, lakini taarifa ya TANESCO imeeleza kuwa wataalamu na mafundi wanaendelea na kazi ya kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )