Infinix inawakaribisha wateja wote wa simu za Infinix katika duka la Infinix Smart Hub Kariakoo kushuhudia zoezi zima la ugawaji zawadi utakavyoenda. Promosheni hii kalikuliko ni promosheni kubwa kuwahi kufanyika kwa kampuni ya Infinix kwa mwaka huu 2021 mwezi wa 8 ni mwezi wa Infinx kwa mwaka huu na hiyo ndio sababu promosheni hii kuwa na ofa, zawadi na michezo mbalimbali ya kuleta umoja baina ya Infinix na wateja wake.
Siku ya kesho zawadi zitatoka kwa njia mbalimbali ili kuhakikisha kila mteja wa simu za Infinix haondoki mikono mitupu baadhi ya zawadi hizo ni ticket za movie na shopping voucher kwa wateja 20 wa kwanza, Microwave, toaster na rice cooker na discount ya kipekee haijawai kutokea popote pale yani nunua simu zilizopo kwenye promosheni kwa bei unayoitaka.
Tafadhali usiache kufika kesho katika duka la Infinix Smart Hub Kariakoo saa 4:00 asubuhi. Infinix TOGETHER WE CAN.