Mbunge
wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma, ikiwa ni
kuitikia wito wa Spika uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na
Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na
kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad
Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi