Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, September 3, 2021

Askofu Gwajima, Polepole na Jerry Slaa Wahojiwa na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM

 Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM leo imewaita Dodoma kuwahoji Wabunge Jerry Silaa na Askofu Gwajima ambao Bunge lilipitisha azimio la kuwasimamisha mikutano miwili, ameonekana pia Mbunge Polepole akitoka kwenye mahojiano.

Askofu  Gwajima na Silaa wameitwa na kamati kwa agizo la Bunge, wakidaiwa kusema uongo na kushusha hadhi ya Bunge,   haikufahamika Polepole ameitwa kwa agizo la nani.

Baada ya kuhojiwa, Polepole aliongea kwa ufupi na waandishi wa habari akiwa ndani ya gari lake.... "Kikao cha maadili ni kikao cha ndani, kwa hiyo taarifa zote zitatoka kwa utaratibu wa chama, nawashukuru sana"

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: