Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi leo imeanza kusikilizwa mahakama kuu divisheni ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Leo kesi hiyo
inaendelea katika hatua ya usikilizwaji wa pingamizi la awali
lililowekwa na washtakiwa kupitia kwa jopo la mawakili wao 14
wakiongozwa na Peter Kibatala.
Katika pingamizi hilo washtakiwa
hao wanadai kuwa hati ya mashtaka ina kasoro za kisheria pamoja na mambo
mengine wakidai kuwa sheria ya ugaidi ambayo wanashtakiwa nayo
haijafafanua viambato vya kosa la ugaidi
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )