Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha Chapakazi kilichokuwa kikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo tarehe 08 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )