Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC).
Dkt. Kayandabila ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Rais Samia Suluhu Hassan pia amemteua Dkt. Naomi Katunzi kuendelea kuwa
Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa
kipindi kingine cha miaka mitatu mitatu.
Uteuzi wa viongozi hao umeanza tarehe 14 mwezi huu.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )