Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, October 20, 2021

Jaji Mustapha Siyani Aanza Kusoma Hukumu Ndogo ndani ya kesi ya msingi katika Kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake


Jaji Mustapha Siyani ameanza kusoma uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.

Uamuzi huo umeanza kusomwa leo Jumatano Oktoba 20, 2021 saa 4: 00 asubuhi katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.

Jaji Siyani amesema ataanza kusoma kwa ufupi yale yaliyozungumzwa ambayo atayaona ni ya muhimu.

Kwa ujumla Jaji Siyani kwa Sasa anafanya rejea ya ushahidi wa upande wa mashtaka kwa muhtasari.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: