Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, October 20, 2021

Nafasi za Kazi za Madereva wa Malori......Wanahitajika Watu 50


NAFASI  ZA KAZI  ZA UDEREVA  WA  MALORI


Kampunl ya usafirishaji ya Simba Supply Chain Solutions Limited (SSCS Ltd) inawatangazia nafasl 50 za ajira kwa madereva wa malori.

MAJUKUMU YA KAZI:
l. Kuendesga gari ya mzigo ya kampuni na kufikisha mzigo wa mteja aliyekusudiwa kwa wakati katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi.
2. Kusimamia na kuratibu upakiaji na ushushaji wa mzigo kwa kuzingatla viwango vya usalama.
3.  Udhibiti wa hall ya usalama na kiufundi ya gari,kuhakikl garl kabla na baada ya safari, kutoa taarifa ya hitilafu ama ajali kwa utaratibu uliowekwa na Kampuni.
4.    Kufuata  mpango wa  safari  ulioandaiwa na Kampuni chlni ya ldara  ya  Uendeshaji na kuzingatla mambo muhimu kama (uzito,barabara,maeneo ya maegesho pamoja na vipindi vya mapumzlko uwapo safarini
5.    Kuzingatla sheria, kanuni na taratlbu za Kampuni katika uendeshajl na kufuata sheria za nchi husika katika uendeshaji


👉Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>

👉Kupata nafasi mbalimbali za kazi Serikalini na mashirika binafsi <<BOFYA HAPA>>

 

chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )