Tume ya Vyuo vikuu nchini ,TCU wamefungua dirisha la maombi ya kuhama chuo au kubali kozi.Mwisho wa maimbi ya uhamisho ni Novemba 14, 2021.
Endapo unahitaji kuhama chuo ulichochaguliwa kwenda chuo kingine kutokana na sababu zako mbalimbali unatakiwa kwenda kwenye chuo husika moja kwa moja unachotaka kuhamia na kuuliza kama kuna nafasi,wakikukubalia ,utapata .
==>>Kwa taarifa zaidi pamoja na masharti kadhaa yaliyotolewa na TCU, BOFYA HAPA
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )