Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, December 2, 2021

Mvua kubwa kunyesha kuanzia kesho


 Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imetangaza kuwepo kwa mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika ukanda wa Pwani kuanzia tarehe tatu hadi tano mwezi huu.

Taarifa ya TMA iliyotolewa mkoani Dar es Salaam imeeleza kuwa licha ya mvua hizo kubwa kumalizika tarehe tano mwezi huu, mvua za kawaida zitaendelea hadi mwezi Aprili mwaka 2022.
 
Kufuatia uwepo wa mvua hizo, TMA imewataka Watanzania wote kuchukua tahadhari hasa kwa mvua zinazoambatana na radi.


 

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: