Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.
Akitangaza
mabadiliko hayo leo Jumamosi Januari 8, 2021 Ikulu jijini Dar es
Salaam, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais
amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu. Tazama hapo chini