Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Mizengo Pinda alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Zuzu Mkoani Dodoma tarehe 15 Januari 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Kilimani Jijini Dodoma tarehe 15 Januari 2022.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )