Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, January 24, 2022

Rais wa Burkina Faso Roch Marc Christian Kaboré azuiliwa katika kambi ya kijeshi


Rais wa Burkina Faso Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya kijeshi, shirika la habari la Reuters limeripoti.

Hatua hiyo Inakuja huku kukiwa na mkanganyiko wa mahali alipo rais.

Shirika la habari la Reuters linavitaja vyanzo viwili vya usalama na mwanadiplomasia wa Afrika Magharibi wakisema kuwa alizuiliwa na wanajeshi waasi.

Milio ya risasi ilisikika hapo awali karibu na makao ya rais katika mji mkuu na milio ya risasi ikafyatuliwa katika kambi kadhaa huku kukiwa na uasi wa wanajeshi.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: