Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, January 4, 2022

TECNO Yatangaza Washindi Wa Christmas Promotion


Wakati tunaelkea kuikaribisha sikukuu za mwisho wa mwaka. Kampuni ya simu za mkononi TECNO walitangaza washindi wa zawadi mbalimbali za promotion yao. Ambapo washindi wa microwave, washing mashine na fliji. Ambapo droo izo zilicheza 17th, 23rd na 31st kupata washindi wa zawadi izo.
Baadhi ya washindi wa microwave Safi kaputa, Sophia Saulo na Vicent ambao wanatokea Dar es Salaam, Mbeya na Arusha. Washindi hawa walitangazwa kupitia droo iliyochezwa mubashara kupitia akaunti ya mtandao wa kijamii instagram mnamo tarehe 17 desember.

Washindi wengi wa mashine ya kufulia Peter Mhina, Evelyne John na Ligibu Chande. Droo hii ilichezwa mnamo tarehe 23 disemba siku 2 kabla ya sikukuu ya Christmas. Baada ya washindi hawa kutangazwa ilibakia droo ya mwisho ambapo ilichezwa tarehe 31 disemba kutangaza washindi wa zawadi kubwa ya fliji. Na baadhi ya washindi Salome Shirima, Pendo Selemani na Leila ambao wanatokea Arusha, Mwanza na Dar es Salaam.


Promosheni hii ilijumuisha mikoa zaidi ya 6 ambayo ni Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma, Tabora, Bukoba, Mtwara na Morogoro. Hii ni desturi ya kampuni ya TECNO kila mwisho wa mwaka kuwa na promosheni.


Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: