Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu, Januari 5, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Samweli Swai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )