Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, February 24, 2022

Biden: Ulimwengu utaiwajibisha Urusi


Rais wa Marekani Joe Biden amejibu mashambulizi ya jeshi la Urusi  yanayoendelea hivi sasa nchini Ukraine.

Anasema;  "Sala za dunia nzima ziko pamoja na watu wa Ukraine". Rais Putin amechagua vita vya kutayarishwa ambavyo vitaleta maafa makubwa ya kupoteza maisha na mateso ya wanadamu

"Urusi pekee ndiyo inayohusika na vifo na uharibifu utakaoletwa na shambulio hili, na Marekani na washirika wake watajibu kwa umoja na njia madhubuti. Ulimwengu utaiwajibisha Urusi
." anasema.
 

Biden anasema atahutubia Wamarekani  leo siku ya Alhamisi kuhusu matokeo ambayo Urusi itakumbana nayo.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: