Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, February 21, 2022

Marekani yadai Urusi inatayarisha orodha ya ‘watu itakaowaua’ baada ya kuivamia Ukraine


Maafisa wa Marekani wanasema kuwa wana ripoti za kijasusi zinazopendekeza kuwa Urusi ina orodha ya watu wa Ukraine "wanaopaswa kuuawa au kupelekwa kambini" katika tukio la uvamizi, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti.

Katika barua kwa Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet, balozi wa Washington katika Umoja wa Mataifa huko Geneva alidai kwamba mipango ya baada ya uvamizi ya Urusi itahusisha mateso, kutoweka kwa lazima na "mateso ya kibinadamu’

Balozi huyo alidai kuwa walengwa ni pamoja na wapinzani wa Urusi na Belarus walio uhamishoni nchini Ukraine, waandishi wa habari na wanaharakati wa kupinga ufisadi, na "watu walio katika mazingira magumu kama vile wa dini na makabila madogo na watu wa LGBTQI+".

"Hasa, tuna habari za kuaminika zinazoonyesha kwamba vikosi vya Urusi vinaunda orodha ya Waukraine waliotambuliwa kuuawa au kupelekwa kambini kufuatia uvamizi wa kijeshi," barua hiyo ilisema.

Walakini, Crocker hakutoa maelezo yoyote juu ya asili ya ujasusi ambayo ilisababisha tathmini hiyo.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: