Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina
mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza
Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina aliyeambatana na Ujumbe wake
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )