Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 2, 2022

Wabunge Wampitisha Tulia Ackson Kiti Cha Uspika Kwa Kura 376


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamemchagua Dkt.Tulia Ackson (CCM) kuwa Spika wa bunge hilo kwa asilimia 100.

Jumla ya kura 376 zimepigwa na wabunge hao ambao ni sana na ASILIMIA 100 kura zote zikienda kwa Dkt Tulia Ackson.

Kiti cha USPIKA kilikuwa na wagombea tisa wagombea hao  ni Abdullah Mohammed Said (NRA), Mhandisi Aivan Jackson Maganza (TLP), David Daud Mwaijojele (CCK), Georges Gabriel Bussungu (ADA -TEA), Kunje Ngombale Mwiru (SAU),

Wengine Maimuna Said Kassim (ADC), Ndonge Said Ndonge (AAFP), Saidoun Abrahamani Khatib (DP) na Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: