Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, March 9, 2022

CHADEMA haitakuwa ya visasi- Mbowe


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kwamba chini ya uongozi wake kamwe chama chake hakitakuwa ni cha kulipa visasi.

Kauli hiyo ameitoa  Machi 8, 2022, mkoani Iringa, wakati akizungumza na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

"Nilipopata mwaliko siku ile ile nimetoka gerezani, nikathibitisha nitakwenda, kamwe sikuruhusu uchungu na maumivu binafsi vinipe upofu na kiburi cha kutokuiona heshima niliyopewa na Rais," amesema Mbowe

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: