Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, March 21, 2022

Ndege ya China Eastern Airlines iliyobeba watu 132 yaanguka huko Guangxi


Ndege ya shirika la ndege la China Eastern Airlines aina ya Boeing 737 iliyokuwa imebeba watu 132 imeanguka katika mkoa wa Guangxi, vyombo vya habari vya serikali ya China vinaripoti. Idadi ya waliofariki bado haijajulikana.

Ajali hiyo, katika eneo la milimani, ilisababisha moto msituni, vyombo vya habari vya serikali vinaripoti. 

Ndege ya MU5735 ilipangwa kuondoka Kunming saa 13:15 na ilikuwa njiani kuelekea Guangzhou.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: