Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, April 1, 2022

IGP Sirro aagiza kufanyika kwa operesheni ya mwezi mmoja kudhibiti ajali za barabarani


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa polisi nchini kufanya operesheni ya mwezi mmoja ya kudhibiti makosa ya barabarani ambayo kwa kipindi cha mwezi huu yameongezeka.

IGP Sirro ametoa agizo hilo mkoani Dar es salaam wakati akizungumza kwenye kikao kazi na Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Rufiji pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama barabara wa mikoa na wilaya na wakuu wa pperesheni kutoka kwenye mikoa hiyo.

Kwa upande wa Wananchi, IGP Sirro amewataka kuendelea kufuata sheria za usalama barabarani, lengo likiwa ni kuepusha ajali zinazoweza kuepukia.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: