Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, April 19, 2022

Rais Samia Azindua Filamu ya ‘Royal Tour’ Nchini Marekani Kutangaza Utalii Duniani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani  tarehe 18 Aprili, 2022.

Wageni mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudia uzinduzi wa wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani  tarehe 18 Aprili, 2022. Kikundi cha Ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani  tarehe 18 Aprili, 2022.Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani  tarehe 18 Aprili, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na Wageni mbalimbali mashuhuri New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na Wageni mbalimbali mashuhuri New York nchini Marekani  tarehe 18 Aprili, 2022Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: