Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, May 24, 2022

Bado point 3 tu Yanga kutwaa Ubingwa


Mabingwa wa kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club wamebakiza alama tatu pekee ili kutangaza Ubingwa wa NBC katika msimu huu wa 21/22.

Yanga inaongoza Ligi kwa alama 64 baada ya sare ya jana ya goli 1-1 dhidi ya Biashara United huku mshambuliaji wake Fiston Mayele akifikisha idadi ya mabao 14.

 

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: