Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imewatahadharisha na kuwataka wananchi kupuuza taarifa ya majibu yenye orodha ya majina ya kazi ya muda ya sensa ya watu na makazi iliyohakikiwa na kujibiwa kikamilifu.
Taarifa hiyo ambayo imeonekana kwenye mitandao ya kijamii imetajwa kuwa ni feki na ya kupuuzwa kwani ina lengo la kuharibu zoezi hilo la kitaifa.
==>>BOFYA HAPA KUPAKUA TAARIFA NZIMA YA NBS KUHUSU WALIIOMBA KAZI -SENSA 2022
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )