Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia TAMISEMI, Ramadhani Kailima kuwafuatilia watumishi 12 mkoani Tanga waliogushi barua za uhamisho, ili warudishwe kwenye vituo vyao vya kazi haraka iwezekanavyo.
Pia ameagiza watumishi hao 12 wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa kosa la kugushi nyaraka za serikali.
Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya taarifa
ya ukaguzi wa hesabu za Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha
wa 2020/2021
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )