Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, June 25, 2022

Bunge Lapitisha Bajeti Kuu Ya Serikali Kwa Mwaka 2022/2023


Bunge la Tanzania jana limepitisha bajeti Kuu ya serikali ya shilingi trilioni 41.48 kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Akisoma idadi ya kura za wabunge waliopitisha bajeti hiyo Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson alisema idadi ya wabunge waliopiga kura ni 379, waliosema ndio ni 356, hakuna waliosema hapana na ambao hawakuamua ni 23 hivyo idadi ya wabunge waliosema ndio wamepitisha bajeti hiyo kwa asilimia 94.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: