Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, June 10, 2022

INFINIX Kufanya Punguzo Kubwa La Bei Wiki Hii....Zuchu Atakuwepo Ndani ya Mlimani City Kukupa Punguzo Kubwa

 


Infinix Tanzania kufanya punguzo kubwa la bei wiki hii tarehe 11/06/2022 kwenye maduka yao ya  Infinix Smart Hub Mlimani City na Infinix Smart Hub China Plaza Kariakoo. 


Siku hii ambayo imetambulishwa kama BIG SALE itakuwa na shughuli mbali mbali kama kukata keki na  kuzindua rasmi na kuikaribisha simu yao mpya ya Infinix NOTE 12 VIP madukani, Simu ambayo  imekuja na rekodi ya kuwa simu inayochaji haraka zaidi duniani kwa dakika kumi na saba tu simu  inakuwa imejaa 100%.

 
Mbali na kujaza kwa dakika kumi na saba, simu hii ina uwezo mkubwa wa kamera ya MP 108, 120Hz  refresh rate pamoja na kioo chenye teknolojia ya Amoled yenye kuonesha hadi rangi bilioni moja  huku ikiuzwa kwa bei rafiki kulinganisha na specifications zake.

 
Wateja wote watakaonunua simu hii siku hii watapata papo kwa hapo zawadi kutoka Infinix zenye  thamani ya hadi ya Laki mbili na kukabidhiwa zawadi zao na Zuchu.

 
Siku hii ya mauzo ya Infinix itakuwa na shughuli kama kukata keki na Zuchu msanii maarufu kutoka   WCB ndiye atakayekata keki na kuwalisha wateja wa Infinix ikiwa ni pamoja na kupiga picha na  kuwahudumia wateka kwenye duka la Mlimani City.

 
Infinix wanawakaribisha wateja wake wote kufika madukani na kushiriki kwenye tukio hili na kupata  nafasi ya kushuhudia simu ya Infinix NOTE 12 VIP pamoja na balozi wake msanii wa kizazi kipya Zuchu  akitoa huduma ya VIP kwa wateja wake.
 

Pia itakuwepo michezo mbali mbali na utapata nafasi ya kushiriki pamoja na balozi wa infinix zuchu.

Kwenye ukurasa wa @infinixmobiletz kuna challenge ya kuwatafuta washindi hamsini ambao pia  watakabidhiwa zawadi na msanii Zuchu kwenye duka la Infinix hapo kesho.
Tembelea kurasa za @infinixmobiletz au piga nambari ya simu 0743558994 kufahamu zaidi kuhusu  


Infinix NOTE 12 VIP pamoja na siku hii ya BIG SALE.
#INFINIX NOTE 12 VIP TAKE THE LEAD.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: