Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtoto wa miaka nane mkazi wa Kimara Temboni aliyekutwa amepoteza maisha chumbani kwake akiwa amelala pamoja na kumshikilia dada wa kazi kwa mahojiano.
Jeshi hilo likiwatahadhalisha watu ambao hupenda kutoa taarifa zisizo za uchunguzi juu ya masuala mbalimbali.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )