Wednesday, November 9, 2011

PICHA "CHAFU" ZA WEMA SEPETU ZASAMBAA MTANDAONI!!!!!


PICHA chafu zinazomwonesha Miss Tanzania mwaka 2006, mwenye vituko kila kukicha Wema Isaac Sepetu, ambaye yuko katika uchumba na msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond’,  zimenaswa ‘live’ katika moja ya mitandao ya kijamii

Picha hizo zinamuonesha mrembo huyo akiwa amelala kitandani katika staili mbalimbali huku kuanzia shingoni kwenda chini akiwa hana nguo.


Katika picha moja mlimbwende huyo wa Bongo anayesumbua katika filamu kwa sasa, ameweka kiganja cha mkono wenye kidole chenye pete ya uchumba aliyovishwa wiki kadhaa zilizopita.

Picha hizo zilisambaa kwa haraka Jumapili Novemba 6, mwaka huu kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, BMM huku wengine wakitumiana kwenye waraka pepe.Kinachoonekana ni kwamba, baada ya picha hizo kusambaa, Wema alipata habari, akachukua picha moja na kuiweka kwenye mtandao wa Black Berry Messengers ‘BBM’ katika simu yake kisha akaandika:


“Kuweka waweke wengine, akiweka Wema tatizo, uzuri hii picha hata baby wangu  (Diamond) anaijua.” Hapa alimaanisha kuwa ‘wabaya’ wake wanamfuatafuata kwa kuzianika picha zake mtandaoni.
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )