Thursday, June 28, 2012

WEMA SEPETU AANZA MAANDALIZI YA KUOLEWA“Walisema haolewi,mbona sasa kaolewa,” sauti hizo zitasikika hivi karibuni na kufuatiwa na shangwe na nderemo za kimbea kutoka kwa wanawake ambazo whether you like it or not you will have to put up with that because soon Wema is getting married!


Jana muigizaji wa the most anticipated movie of this year (Superstar), Wema Sepetu ameweka wazi mipango yake ya kufikiria kufunga pingu za maisha na ampendaye na sasa anafikiria shela gani atavaa siku hiyo!


“Thinking about My wedding Dress!!,” alitweet na kusababisha lundo la maswali kutokana kwa watu waliotaka kujua ukweli wa hicho alichokiandika.


“Movie or a wedding dress 4 real?” aliuliza msichana aitwaye Candy na Wema akajibu,” You don’t believe ama? Hhehehhe.”
Mwingine akauliza, “yu getting married soon???” na Wema akamjibu, “thinking about that.”


Namna Wema alivyoendelea kusisitiza ukweli wa kile anachokisema ndivyo maswali yakazidi kuongezeka kiasi cha kuligusa gazeti la Baabkubwa lililomuuliza, “Who’s the lucky guy??????,” ingawa Wema alilikwepa swali hilo, “ahhahaha Umbea!”


Wapo waliomwambia kuwa ni mapema mno kwa yeye kufanya hivyo lakini alisisitiza kuwa hawezi kungojea wakati umri unazidi kwenda.


“Sio vizuri wewe utamuua kwa presha mama wa watu,” alipewa onyo na huku yeye akijibu, “why? she always wanna see me Happy! why afe sasa?”


Mwisho kuashiria kuwa mlimbwende huyu tayari ameshalikabidhi pendo lake kwa mtu ambaye bado hatujamfamu ni nani alimalizia kwa kutweet, “Natamani kusikia sauti Yake! wallahi tena.”
Maongezi yenyewe haya hapa!


Kila lakheri Wema lakini usisahau kadi moja ya MPEKUZI tushuhudie namna mtakavyoexchange vows na Mr. Lucky guy!

Kupitia mitandao ya kijamii husasan Twitter, mastaa wengi duniani wamekuwa wakifunguka waliyonayo moyoni hata yale mazito kabisa.


Miongoni mwa yale wanayoyasema yapo ambayo huwa kweli na mengine huandikwa kuwazingua tu mashabiki.


Kuna wakati Drake na Nicki Minaj waliwahi kuwazingua mafans wao kuwa wamefunga ndoa na wapo walioamini hivyo.


So perhaps Wema is telling the truth, we will see about that.
==


Advertisement
Punguzo la Bei 20% msimu huu wa Idd.Agiza saa hii ya Automatic, na lipa mzigo ukifika majiji yote TanzaniaAdvertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )