Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na
Arusha jana mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga
mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.
Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda
Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )